Friday 19 May 2017

Madiwani wa Halmashauri ya Siha wafanya mkutano wa Kawaida wa Baraza hilo.

 Mkutano wa Baraza la Madiwani halmashauri ya Wilaya ya Siha wakutana kwa siku mbili tarehe 18.5.2017 na 19.5.2017. Mkutano huo umefayika katika ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Siha na kujadili na kupitia taarifa mbalimbali ya shughuli zilizotekelezwa na Halmashauri hiyo kwa kipindi cha robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2016/2017.
Waheshimiwa Madiwani Halmashauri ya Siha wakiwa katika mkutano  wa Kawaida wa Baraza katika ukumbi wa Mikutano wa Baraza hilo.

No comments:

Post a Comment