Wednesday 17 May 2017

DC SIHA AWATAKA WANANCHI KUSHIRIKIANA NA sERIKALI KATIKA SHUGHULI ZA MAENDELEO

 Mkuu wa Wilaya ya Siha Mhe Onesmo Buswelu akikagua ujenzi wa Maabara katika shule ya Sekondari Fuka tarehe 16.5.2017
 Mkuu wa Wilaya ya Siha Mhe Onesmo Buswelu akikagua ujenzi wa Choo cha Shule ya Msingi Lomakaa kata ya Kirua
 Mkuu wa Wilaya ya Siha akiongea na Wazazi na Wananchi wa Kata ya Kirua katika shule ya Sekondari Fuka tarehe 16.5.2017

No comments:

Post a Comment