Sunday 22 January 2017

Watumishi wa Umma Wilayani Siha wanogesha ktk bonanza la michezo

Watumishi wakifurahia ushindi ktk moja ya michezo ktk bonanza la michezo kwa watumishi wa Umma

Hapa ni rumba tu baada ya ushindi.watumishi wa Umma wakijimwaga kwa kucheza muziki baada ya matokeo mazuri
Watumishi wa idara ya Afya wakifurahia ushindi katika bonanza la michezo kwa watumishi wa Umma Wilayani Siha
Watumishi wa Afya na wale wa makao makuu wakifurahia bonanza



Hotuba fupi ya kufungua bonanza la michezo ilivyokuwa

Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Siha Valerian Juwal akitoa hotuba mfupi ya kufungua wa bonanza la michezo kwa watumishi wa Umma Wilayani Siha tar 21.1.2017

PICHA BONANZA LA MICHEZO KWA WATUMISHI WA UMMA TAR 21.1.2017 WILAYANI SIHA.


























Wednesday 11 January 2017

Picha mbalimbali ya daraja la kisube Kirisha.

 Daraja la Kisube Kirisha limekamilika na litakabidhiwa kwa wananchi hivi karibuni. gharama ya ujenzi wa daraja hili ni Tsh. Mil 920



Kamati za shule wapewa mafunzo ya uendeshaji wa shule


Mkurugenzi Mtendaji wa HALMASHAURI ya Siha Valerian Juwal akifungua mafunzo kwa wanakamati wa shule za MSINGI.shughuli hiyo imefanyika katika Shule ya MSINGI Wiri

Friday 6 January 2017

Picha za mkutano wa DC SIHA na wazazi /walezi wa wanafunzi wa kidato cha kwanza mwaka 2017 katika Shule ya Sekondari Kilingi







Wadau watakiwa kuboresha elimu




 Mkuu wa Wilaya ya Siha akabidhi mifuko 25 ya saruji kwa uongozi wa shule ya MSINGI Merali Kata ya Sanya Juu hivi karibuni.saruji hiyo ilitolewa na wadau wa maendeleo Wilayani siha.vifaa vingine pia vimetolewa na kufanya thamani yake kufika zaidi ya Tsh.mil moja


Wawekezaji Siha Mkoani KILIMANJARO kuendelea kuchangia maendeleo ya jamii

Mkuu wa Wilaya ya Siha mhe.  Onesmo Buswelu afanya kikao na wadau wa maendeleo Wilayani Siha mapema tarehe 6.1.2017 na kujadili mambo mbalimbali ya maendeleo katika Wilaya ya Siha.