Sunday, 3 April 2016

WANANCHI WAHAMASIKA KUTUNZA MAZINGIRA WILAYANI SIHASIHA

 baadhi ya Wananchi watunza mazingira Wilayani Siha wakiwa kandokando ya jengo la ofisi ya mkurugenzi kwa ajili ya kuchimba mashimo ya kuotesha miti ya kivuli na maua kwa ajili ya kutunza mazingira
 wana mazingira Wilayani Siha wakipokea maelekezo kwa viongozi wao hivi karibuni. hayo yamefanyika katika jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Siha ambapo wana mazingira hao wanategemea koutesha miti zaidi ya 2000 katika kipindi hiki cha mvua za masika
 wakina mama wa kikundi cha Florest wakishiriki katika uchimbaji wa mashimo kwa ajili ya maandalizi ya uoteshaji wa miti ya kivuli na matunda katika eneo la Halmashauri ya Wilaya ya Siha

No comments:

Post a Comment