Sunday 3 April 2016

MCHEZO WA KIKAPU WAPATA WATAALAMU WILAYANI SIHA

 wahitimu wa mchezo wa kikapu Wilayani Siha ambao ni walimu wa Shule za Msingi na Sekondari  wakifurahia kupata vyeti vya kuhitimu mafunzo hayo hivi.  viongozi wa chama Cha Mapinduzi  na Serikali pia walihudhuria ufungaji wa mafunzo hayo

No comments:

Post a Comment