HALMASHAURI YA WILAYA YA SIHA
TAREHE 13.4.2016 TANGAZO KUHUSU UPANDAJI MITI
MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA SIHA ANAWATANGAZIA WANANCHI NA WATUMISHI WOTE KUWA MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO MH. SAID M. SADIKI ATASHIRIKI MAADHIMISHO YA UPANDAJI MITI KIMKOA YATAKAYOFANYIKA WILAYA YA SIHA SIKU YA IJUMAA TAREHE 15.4.2016.
AIDHA, SHUGHULI HIYO ITAFANYIKA ENEO LA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA SIHA KUANZIA SAA 3:00 ASUBUHI.
HIVYO WANANCHI NA WATUMISHI WOTE MNATAKIWA KUSHIRIKI VEMA KATIKA ZOEZI HILO MUHIMU LA UTUNZAJI NA UHIFADHI WA MAZINGIRA.
LIMETOLEWA NA
Dkt. Best Magoma
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri (W) SIHA
No comments:
Post a Comment