NB:
Katika kuitikia Wito na Kampeni ya Serikali kuhusu uoteshaji wa miti hapa nchini. Wilaya ya Siha inatarajia kupanda miti zaidi ya 1.7 Mil katika maeneo mbalimbali yakiwemo Taasisi za Serikali na Binafsi,Kandokando ya mito na barabara,maeneo ya makazi ,maeneo ya wazi na kwenye vilima
No comments:
Post a Comment