Sunday, 3 April 2016

WALIMU WA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI SIHA WAPATIWA MAFUNZO YA MCHEZO WA KIKAPU

 mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Siha akiwapongeza baadhi ya wahitimu wa mafunzo ya mchezo wa Kikapu katika Wilaya ya Siha

 Afisa utamaduni na vijana katika Halmashauri ya Siha  Hanselm Hamaro akipongezwa  na Mgeni rasmi kwa kuhitimu mafunzo ya mchezo wa Kikapu miongoni mwa washiriki.
walimu wa shule za msingi na Sekondari Wilayani Siha waliohitimu mafunzo ya muda mfupi kwa mchezo wa kikapu. Hitinisho na ugawaji wa vyeti ulifanyika katika ofisi ya Chama cha Mapinduzi Wilayani Siha hivi karibuni. Jumla ya walimu 14 wa shule za msingi na 5 wa shule za Sekondari walipatiwa vyeti vya kuhitimu na Mgeni rasmi Mkurugenzi wa Halmashauiri ya Siha Rashid Kitambulio

No comments:

Post a Comment