Sunday, 3 April 2016

MAADHIMISHO YA SIKU YA USONJI DUNIANI YAFANYIKA WILAYANI SIHA TAREHE 2.4.2016

maandamano ya Wananchi wakiwemo walemavu wakiingia katika eneo la kufanyia maadhimisho ukumbi wa KKKT Jimbo la Siha na kupokewa na Mkuu wa Wilaya hiyo Dkt Charles Mlingwa


 wazazi na wanafunzi wakiwa katika ukumbi wa KKKT Jimbo la Siha katika maadhimisho ya siku ya Usonji Dunia tarehe 2.3.2016 Wilayani Siha
Mkuu wa Wilaya ya Siha Dkt Charles Mlingwa akisisiza jambo katika maadhimisho ya siku ya Usonji dunia. Katika Wilaya ya Siha yalifanyika katika ukumbi wa Mikutano Amani KKKT Jimbo la Siha

No comments:

Post a Comment