Friday 14 July 2017

Picha za uboreshaji wa makundi mbinu katika Hospital ya Wilaya ya Siha hivi karibuni

Sehemu ya jengo ktk hospital ya Wilaya sakafu ya kwanza likiendelea kukamilishwa
Ukarabati unaendelea
Hapo Juu ni jengo la utawala ktk hospital ya Wilaya ya Siha
Sehemu ya nyuma ya jengo linaloendelea kukamilishwa
Jengo la wodi ya Wazazi hapo Juu linalojengwa kwa michango ya wadau mbalimbali wa maendeleo na wananchi wa  Siha.

No comments:

Post a Comment