Sunday 21 June 2015

WANANCHI WATAKIWA KUJIANDIKISHA

HALMASHAURI YA WILAYA YA SIHA


TANGAZO

AFISA UANDIKISHAJI MKUU  HALMASHAURI (W) SIHA ANAWATANGAZIA WANANCHI WA KATA ZA IVAENY,NASAI,KIRUA NA KASHASHI WILAYANI SIHA KUWA TAREHE 22/6/2015 SAA  12:00 JIONI  NDIYO MWISHO WA ZOEZI LA KUJIANDIKISHA KATIKA KATA TAJWA HAPO JUU

AMEWATAKA WANANCHI WANANCHI KUTUMIA MUDA WA SIKU MOJA ILIYOBAKI YAANI TAREHE 22/6/2015 KUHAKIKISHA KUWA WALE WOTE AMBAO HAWAJAJIANDIKSHA WANAFANYA HIVYO ILI WAPATE NAFASI KUCHAGUA VIONGOZI WANAOWAPENDA KATIKA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA HUU MWEZI OKTOBA 2015

TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA 
RASHID S KITAMBULIO
AFISA UANDIKISHAJI MKUU WILAYANI SIHA

FURSA YA VIWANJA SIHA




 HALMASHAURI YA WILAYA YA SIHA


                                                                                               TAREHE 19/6/2015
T  A  N  G  A  Z  0
MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA SIHA MKOA WA KILIMANJARO ANAWATANGAZIA WANANCHI WOTE WA TANZANIA KUWA HALMASHAURI YA WILAYA YA SIHA INAUZA  VIWANJA  KATIKA  HALMASHAURI YAKE .
VIWANJA HIVI NI VYA MATUMIZI MBALI MBALI NA  BEI YA KIWANJA NI TSHS 2500/= KWA MITA  MOJA  YA MRABA .  VIWANJA HIVI VIPO KATIKA  UWANDA WA JUU WENYE MAZINGIRA MAZURI YENYE HALI BORA KABISA YA HEWA  KUTOKA MLIMA  MREFU BARANIAFRIKA KILIMANJARO
HALMASHAURI YA SIHA INAWAKARIBISHA WALE WOTE WENYE HITAJI LA KIWANJA/VIWANJA KUFIKA OFISI YA MKURUGENZI NA  KUJAZA FOMU ZA MAOMBI.
FOMU ZA MAOMBI  ZINAPATIKANA OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI KWA GHARAMA YA TSHS 20,000/= TU . FOMU  ZIMEANZA KUTOLEWA OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI  WILAYA YA SIHA. FOMU HIZI ZINATAKIWA KUJAZWA NA KURUDISHWA OFISI YA MKURUGENZI MARA BAADA YA KUJAZWA NA RISITI ZITATOLEWA PAPO KWA HAPO
WOTE MNAKARIBISHWA KUPATA VIWANJA KATIKA WILAYA YA SIHA KWANI  NI MIONGONI MWA WILAYA YA MKOA WA KILIMANJARO  YENYE MANDHARI NA HALI YA HEWA YA KUVUTIA,MIONDOMINU BORA, MAJI SAFI NA SALAMA MIONGONI MWA HUDUMA NYINGINE
ISHI WILAYA YA SIHA KWA AFYA BORA NA MAFANIKIO

KWA MAWASILIANO ZAIDI WASILIANA KWA KUPIGA  SIMU
0655445585 AU
0784445585 AU
0764101535
TANGZO HILI LIMETOLEWA NA
RASHID S. KITAMBULIO MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA SIHA -KILIMANJARO

AWAMU YA PILI UANDIKISHAJI SIHA



HALMASHAURI YA WILAYA YA SIHA
VITUO VYA UANDIKISHAJI  AWAMU YA PILI TAREHE KUANZIA 23/6/2015 HADI TARHE 29/6/2015
NA
KATA
KIJIJI
KITUO CHA UANDIKISHAJI

GARARAGUA
MAGADINI
OFISI KIJIJI MAGADINI

MAGADINI
SHULE MSINGI MAGADINI

MAWASILIANO
SHULE MSINGI MAWASILIANO

MLANGONI
OFISI KIJIJI MLANGONI

WIRI
OFISI KIJIJI WIRI

WIRI
OFISI LERONGO FARM

MLANGONI
SHULE MSINGI KILARI

WIRI
SHULE MSINGI WIRI





NGARENAIROBI
NAMWAI
OFISI KAFOI FARM

NAMWAI
SHULE MSINGI NAMWAI

NGARENAIROBI
COMMUNITY KIJIWENI

NGARENAIROBI
OFISI YA KATA NGARE

NGARENAIROBI
ZAHANATI YA NGARE

NGARENAIROBI
OFISI KIJIJI NGARE

MWANGAZA
SHULE MSINGI MWANGAZA





NDUMET
MATADI
MATADI SEKONDARI A

MATADI
MATADI SEKONDARI B

MATADI
MATADI SEKONDARI” C”

MATADI
OFISI KITONGOJI MJIMWEMA

MATADI
OFISI KATA YA KIBAONI

MATADI
POVERT FARM OFISINI

MATADI
SHULE MSINGI LEMOSHO A

MATADI
SHULE MSINGI LEMOSHO B

MATADI
SHULE MSINGI LEMOSHO C

ROSELYNE
OFISI MAJI ROSELYNE

ROSELYNE
SHULE MSINGI ROSELYNE A

ROSELYNE
SHULE MSINGI ROSELYNE B





MITIMIREFU
KALIMANI
OFISI YA KIJIJI KALIMAJI

MITIMIREFU
OFISI YA KIJIJI MITIMIREFU





NB: WANANCHI WATAKIWA KUJITOKEZA KWA WINGI KUJIANDIKISHA KATIKA KATA ZA GARARAGUA,NGARENAIROBI,NDUMET NA MITI MIREFU