Monday 17 July 2017

Matokeo ya Jumla kidato cha Sita 2017 shule za Wilaya ya Siha




MATOKEO YA UJUMLA KIDATO CHA SITA MWAKA 2017 SHULE ZA  WILAYA YA SIHA HAYA HAPA
1.    Oshara sekondari: div I-12,div II-26,div III-8,hakuna div 4 na zero.Kimkoa 5/43,Kitaifa 55/449,Jumla wanafunzi  waliofanya mtihani ni 46
2.    Visitation Sekondari:div I-11,divII-17,div III-9,hakuna 4 wala  zero: Kimkoa 8/43,Kitaifa 63/449,Jumla wanafunzi  waliofanya mtihani ni 37
3.    Magadini Sekondari:div I-6,div II-41,div III-10,hakuna 4 wala zero: : Kimkoa 15/43,Kitaifa 84/449,Jumla wanafunzi  waliofanya mtihani ni 57
4.    Sanya Juu Sekondari:div I-13,div II-32,div III-39,div IV-2,div 0-3: : Kimkoa 31/43,Kitaifa 241/449,Jumla wanafunzi  waliofanya mtihani ni 89
5.    Nuru Sekondari:div I-3,div II-1,div III-4 div IV-1,hakuna zero: : Kimkoa 13/22,Kitaifa 72/146,Jumla wanafunzi  waliofanya mtihani ni 9
6.    Faraja Siha :div I-10,div II-22,div III-37,div IV-5,div zero-3: : Kimkoa 36/43,Kitaifa 312/449,Jumla wanafunzi  waliofanya mtihani ni 74
7.    Magnificat Sekondari:div I-1,div II-7,div III-6,hakuna 4 wala zero: : Kimkoa 19/22,Kitaifa 106/146,Jumla wanafunzi  waliofanya mtihani ni 14



No comments:

Post a Comment