MKUU WA WILAYA YA SIHA DR CHARLES MLINGWA KATIKATI AKIKATA UTEPE KUASHIRIA ZOEZI LA UANDIKISHAJI KUANZA RASMI WILAYA SIHA TAREHE 16.06.2015 HADI TAREHE 13.07.2015
MKUU WA WILAYA YA SIHA AKIPONGEZWA MARA BAADA YA KUKATA UTEPE WA KUASHIRIA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA MPIGA KURA WILAYANI SIHA KWA KUTUMIA MFUMO MPYA WA KISAYANSI WA KUTUMIA MASHINE ZA BVR
MBUNGE WA JIMBO LA SIHA NA NAIBU WAZIRI TAMISEM MH. AGGREY D MWANRI AKIPATA MAELEZO KWA WATAALAM YA JINSI YA KUJISAJILI ILI APATE KITAMBULISHO CHA MPIGA KURA. ZOEZI HILI LILIFANYIKA OFISI YA KIJIJI CHA WANRI WILAYANI SIHA
MBUNGE WA JIMBO LA SIHA MH.AGGREY MWANRI AKIPOKEA KITAMBULISHO CHA MPIGA KURA MARA BAADA YA ZOEZI LA UANDIKISHAJI KUANZA RASMI WILAYANI SIHA. KATIKA KITUO CHA WANRI MH MBUNGE WA SIHA ALIKUWA MTU WA KWANZA KUPATIWA KITAMBULISHO CHA MPIGA KURA
MBUNGE WA SIHA AKIWAONESHA WANANCHI KITAMBULISHO CHA MPIGA KURA MARA BAADA YA MASHINE ZA BVR KUKAMILISHA KAZI YA KUWEKA DATA ZINAZOHUSIKA
MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA SIHA NDG RASHID KITAMBULIO AKIONGEA NA WAANDISHI WA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI MARA BAADA YA UZINDUZI WA KUBORESHA DAFTARI LA KUDUMU KUFANYAIKA WILAYANI SIHA TAREHE 16.6.2015
No comments:
Post a Comment