BAADHI YA VIKOMBE VYA MCHEZO WA PETE NA WAVU ILIVYOCHUKUA SIHA KATIKA MASHINDANO YA SHULE ZA MSINGI MKOA WA KILIMANJARO
MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA SIHA RASHID KITAMBULIO AKIPOKEA VIKOMBE ILIVYOPATA WILAYA YA SIHA KATIKA MASHINDANO YA UMITASHUNTA MKOA WA KILIMANJARO
BAADHI YA WANAFUNZI WALIOSHIRIKI MASHINDANO YA UMITASHUNTA NA KUILETEA SIHA MAKOMBE WAKIWA NA MKURUGENZI MTENDAJI NA MAOFISA WENGINE WA HALMASHAURI YA SIHA
No comments:
Post a Comment