HALMASHAURI YA WILAYA YA SIHA
TANGAZO
AFISA UANDIKISHAJI MKUU HALMASHAURI (W) SIHA ANAWATANGAZIA WANANCHI WA KATA ZA IVAENY,NASAI,KIRUA NA KASHASHI WILAYANI SIHA KUWA TAREHE 22/6/2015 SAA 12:00 JIONI NDIYO MWISHO WA ZOEZI LA KUJIANDIKISHA KATIKA KATA TAJWA HAPO JUU
AMEWATAKA WANANCHI WANANCHI KUTUMIA MUDA WA SIKU MOJA ILIYOBAKI YAANI TAREHE 22/6/2015 KUHAKIKISHA KUWA WALE WOTE AMBAO HAWAJAJIANDIKSHA WANAFANYA HIVYO ILI WAPATE NAFASI KUCHAGUA VIONGOZI WANAOWAPENDA KATIKA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA HUU MWEZI OKTOBA 2015
TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA
RASHID S KITAMBULIO
AFISA UANDIKISHAJI MKUU WILAYANI SIHA
No comments:
Post a Comment