Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Gharib Bilal akimkabidhi cheti cha ushindi wa tatu kwa vijiji bora kwa afya na Usafi wa Mazingira Tanzania bara mratibu wa Kampeni ya Usafi na mazingira Wilayani Siha, Bi Joyce Tarimo.Kijiji cha mawasiliano kata ya gararagua kilishika nafasi ya tatu kitaifa na kwanza katika mikoa ya kanda ya kaskazini mwa Tanzania
No comments:
Post a Comment