Tuesday, 9 June 2015

Shule zilizofanya vizuri Siha mwaka 2014

SHULE ZA WILAYA SIHA ZILIZOFANYA VIZURI KATIKA MATOKEO YA MITIHANI YA KITAIFA MWAKA 2014 NA KUONESHA MJONGEO CHANYA (MOST IMPROVED SCHOOOLS).
SHULE HIZI ZIMEPATIWA ZAWADI YA CHETI CHA  UTAMBULISHO NA MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO TAREHE 08/06/2015  WA KUTAMBUA JUHUDI WALIZOZIFANYA KATIKA MATOKEO HAYO

A) SHULE ZA MSINGI ZIFUATAZO   KATIKA HALMASHAURI YA SIHA ZILITUNUKIWA CHETI KWA KUFANYA VIZURI KATIKA MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA 2014
  • ORKOLILI 
  • NGARENAIROBI
  • LEMOSHO
  • NASAI
  • NKYARE
  • KILARI
  • LOMAKAA
B) SHULE ZA SEKONDARI ZILIZOFANYA VIZURI ZAIDI MATOKEO YA KIDATO CHA NNE  2014
  • SUUUMU SEKONDARI
  • KILINGI SEKONDARI
  • NURU SEKONDARI

NB: SHULE YA SEKONDARI VISITATION NDIYO SHULE ILIYOKUWA NA MATOKEO MAZURI ZAIDI WILAYANI SIHA   KWA KUWA NA WANAFUNZI WALIOFAULU KWA KIWANGO CHA JUU  ZAIDI NA KUWA NA UFAULU BORA

No comments:

Post a Comment