Mkuu wa Wilaya ya Siha Dr Charles Mlingwa amewataka Wananchi wa Jimbo la Siha kuchagua viongozi bora na siyo bora viongozi
hayo ameyasema wakati alipokuwa anaongea na Walinzi wa Amani kwa ngazi mbalimbali Wilayani Siha ili kuwakumbusha baadhi ya majukumu wakati huu Nchi inapoelekea katika uchaguzi Mkuu
aliwaambia kuwa amani ya Nchi siyo jambo la kuchezea inatakiwa kulindwa kama mboni ya jicho ,hivyo kila mtu anatakiwa kutambua hilo na kulitenda
aliwaomba Wananchi kuwachagua viongozi bora kwa ajili ya maendeleo yao binafsi na taifa kwa ujumla wake. alisema kuwa tusiwachague viongozi kwa majaribio wala kwa ushabiki bali tunatakiwa kuwachagua viongozi wanaofaa na tuliowazoea na tunaowajua vizuri tabia na mienendo yao
aliwataka Wananchi wa Siha kutokufanya makosa ya kudanganywa na kuchagua viongozi wasiofaa na ambao hatuwafahamu vizuri.
mimi naamini kuwa serikali imefanya mambo mengi sana kwa maendeleo ya Siha na ni budi wananchi kuiunga mkono wakati wa upigaji wa kura Oktoba 25 mwaka huu
nawatakia amani iendelee kutawala katika Wilaya yetu ya Siha na Tanzania kwa Ujumla wake, Zaidi ya Wapiga kura elfu Hamsini wanatarajiwa kupiga kura tarehe 25,10. 2015 katika kuchagua viongozi mbalimbali kwa ngazi ya Rais,Mbunge na Madiwani
Monday, 28 September 2015
ZINGATIENI KANUNI NA SHERIA ZA UCHAGUZI 2015
Msimamizi mkuu wa uchaguzi Jimbo la Siha ndg Rashid Kitambulio amewataka wasimamizi wasaidizi kuzingatia sheria na kanuni za uchaguzi ktk zoezi la uchaguzi mkuu Wilayani hapo 2015
msimamizi huyo aliyasema hayo wakati akitoa nasaha na maelekezo ya jinsi ya kufanikisha zoezi hilo muhimu la kitaifa alipokutana na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi na walinzi wa amani kwa ngazi ya vijiji na kata
Uchaguzi wa mwaka huu utasaidia kuwapata Madiwani 17 katika kata za Wilaya ya Siha na Mbunge mmoja wa Jimbo la Siha ambapo vyama vilivyoweka wagombea wake kwa ngazi mbalimbali ni pamoja na Chama kinachotawala CCM ,CHADEMA na ACT Wazalendo

TANGAZO LA AJIRA MPYA
HALMASHAURI YA WILAYA YA SIHA
Kumb Na SDC/S.10/2/VOL.III/79
Tarehe:
12/09/2015
TANGAZO
LA NAFASI ZA KAZI (LIMERUDIWA)
Mkurugenzi Mtendaji wa
Halmashauri ya Wilaya ya Siha anawatangazia Ajira Watanzania wenye sifa
za kazi kama ifuatavyo:-
1) DEREVA DARAJA LA
II NAFASI 2 (TGOS A):
A: SIFA
i. Kuajiriwa wenye cheti cha mtihani wa kidato cha nne(IV)
ii. Wenye leseni daraja
la C ya uendeshaji magari
iii. Wenye uzoefu wa kuendesha magari kwa muda
usiopungua miaka mitatu (3) bila kusababisha ajali.
iv) Wenye cheti
cha majaribio ya ufundi daraja la II.
B: MAJUKUMU:
i. Kuendesha magari ya Abiria na Malori.
ii. Kuhakikisha gari na vyombo vyake vipo katika hali
nzuri wakati wote na kufanya uchunguzi
wa gari kabla na baada ya
safari ili kugundua ubovu unaohitaji matengenezo.
iii. Kufanya
matengenezo madogomadogo katika gari.
iv. Kutunza na
kuandika daftari la safari(Log- Book)
kwa safari zote.
2) KATIBU MAHSUSI III - NAFASI MOJA(01) (TGS B):
A: SIFA
i. Waombaji wawe na Elimu ya kidato cha nne(Form
IV)
ii. Waombaji
wawe wamehudhuria mafunzo
ya Uhazili na kufaulu mtihani ya hatua ya tatu.
iii. Waombaji
wawe wamefaulu somo la Hatimkato, Kiswahili
na Kiingereza maneno 80 kwa dakika moja
iv. Waombaji wawe
wamepata mafunzo ya kompyuta kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
v. Waombaji wawe wamepata cheti katika
programu za Windows, Microsoft office, Internet, E-Mail na Publisher.
vi. Mwombaji awe na umri kuanzia
miaka 18 – 45.
vii. Weka picha
moja pasport size ya hivi karibuni.
B: MAJUKUMU:
i. Kuchapa barua, taarifa na nyaraka
za kawaida.
ii. Kusaidia
kupokea wageni na kuwasaidia shida zao na kuwaelekeza sehemu wanapoweza
kushughulikiwa.
iii. Kusaidia kutafuta na kumpatia Mkuu wake
majalada,nyaraka au kitu chochote kinachohitajika katika shughuli za
kazi hapo ofisini.
iv. Kusaidia kufikisha maelekezo ya Mkuu wake wa kazi
kwa wasaidizi wake na pia kumuarifu kuhusu taarifa zozote anazokuwa amepewa na
wasaidizi hao.
v. Kusaidia kupokea majalada,
kuyagawa kwa Maafisa walio
sehemu alipo, kuyakusanya, kuyatunza na
kuyarudisha sehemu husika.
3) MCHAPA
HATI II - NAFASI MOJA (1) (TGS B):
A. SIFA:
i. Mwombaji awe mehitimu kidato cha Nne au Sita.
ii. Mwombaji awe
amefaulu mtihani wa Uhazili hatua ya II kutoka chuo cha Utumishi wa Umma.
iii.
Mwombaji awe na ujuzi wa Kompyuta
hatua ya I na II kutoka Chuo
kinachotambuliwa na Serikali.
iv. Mwombaji awe
na umri kuanzia miaka 18 – 45.
v. Weka picha moja pasport size ya hivi karibuni.
B. MUJUKUMU:
i. Kuchapa Taarifa
za Uthamini na Hati za Fidia.
ii. Kuchapa Nyaraka
na Hati za kumiliki Ardhi.
4 :
MAELEZO YA UJUMLA:
i. Barua
za maombi ziandikwe kwa mkono
(Hand writing).
ii. Mwombaji
aonyeshe wasifu wake
(CV).
iii. Barua za maombi
ziambatishwe na vivuli vya vyeti
vyote.
iv. Mwombaji awe
na umri kuanzia miaka 18 – 45.
v. Weka picha moja pasport size ya hivi karibuni.
Vi. Mwombaji
aambatishe Cheti cha Kuzaliwa.
Mwisho wa kutuma
maombi ni tarehe : 13/10/2015 saa
9.30 alasiri.
NB:
Tangazo hili
pia linapatikana kwenye tovuti ya
Halmashauri ya Siha, ingia google
andika www.sihaleo.blog.
Maombi yote
yatumwe kwa:
Mkurugenzi Mtendaji(W),
S.L.P 129,
SANYA JUU - SIHA
Limetolewa na:
Rashidi S. Kitambulio
Mkurugenzi
Mtendaji(W)
SIHA

Thursday, 9 July 2015
ZOEZI LA UANDIKISHAJI LAELEKEA UKINGONI WILAYANI SIHA
BAADHI YA WANANCHI WAKIWA KATKA MSTARI KATIKA SHULE YA MSINGI MAKIWARU KATIKA ZOEZI LA KUPATA VITAMBULISHO VYA MPIGA KURA TAREHE 9.7.2015 WILKAYANI SIHA
Sunday, 21 June 2015
WANANCHI WATAKIWA KUJIANDIKISHA
HALMASHAURI YA WILAYA YA SIHA
TANGAZO
AFISA UANDIKISHAJI MKUU HALMASHAURI (W) SIHA ANAWATANGAZIA WANANCHI WA KATA ZA IVAENY,NASAI,KIRUA NA KASHASHI WILAYANI SIHA KUWA TAREHE 22/6/2015 SAA 12:00 JIONI NDIYO MWISHO WA ZOEZI LA KUJIANDIKISHA KATIKA KATA TAJWA HAPO JUU
AMEWATAKA WANANCHI WANANCHI KUTUMIA MUDA WA SIKU MOJA ILIYOBAKI YAANI TAREHE 22/6/2015 KUHAKIKISHA KUWA WALE WOTE AMBAO HAWAJAJIANDIKSHA WANAFANYA HIVYO ILI WAPATE NAFASI KUCHAGUA VIONGOZI WANAOWAPENDA KATIKA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA HUU MWEZI OKTOBA 2015
TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA
RASHID S KITAMBULIO
AFISA UANDIKISHAJI MKUU WILAYANI SIHA
FURSA YA VIWANJA SIHA
HALMASHAURI YA WILAYA YA SIHA
TAREHE 19/6/2015
T A N G A Z 0
MKURUGENZI
MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA SIHA MKOA WA KILIMANJARO ANAWATANGAZIA
WANANCHI WOTE WA TANZANIA KUWA HALMASHAURI YA WILAYA YA SIHA INAUZA VIWANJA
KATIKA HALMASHAURI YAKE .
VIWANJA HIVI
NI VYA MATUMIZI MBALI MBALI NA BEI YA KIWANJA
NI TSHS 2500/= KWA MITA MOJA YA MRABA . VIWANJA HIVI VIPO KATIKA UWANDA WA JUU WENYE MAZINGIRA MAZURI YENYE
HALI BORA KABISA YA HEWA KUTOKA
MLIMA MREFU BARANIAFRIKA KILIMANJARO
HALMASHAURI
YA SIHA INAWAKARIBISHA WALE WOTE WENYE HITAJI LA KIWANJA/VIWANJA KUFIKA OFISI
YA MKURUGENZI NA KUJAZA FOMU ZA MAOMBI.
FOMU ZA
MAOMBI ZINAPATIKANA OFISI YA MKURUGENZI
MTENDAJI KWA GHARAMA YA TSHS 20,000/= TU
. FOMU ZIMEANZA KUTOLEWA OFISI YA
MKURUGENZI MTENDAJI WILAYA YA SIHA. FOMU
HIZI ZINATAKIWA KUJAZWA NA KURUDISHWA OFISI YA MKURUGENZI MARA BAADA YA KUJAZWA
NA RISITI ZITATOLEWA PAPO KWA HAPO
WOTE
MNAKARIBISHWA KUPATA VIWANJA KATIKA WILAYA YA SIHA KWANI NI MIONGONI MWA WILAYA YA MKOA WA
KILIMANJARO YENYE MANDHARI NA HALI YA
HEWA YA KUVUTIA,MIONDOMINU BORA, MAJI SAFI NA SALAMA MIONGONI MWA HUDUMA
NYINGINE
ISHI WILAYA YA SIHA KWA AFYA BORA NA MAFANIKIO
KWA MAWASILIANO ZAIDI WASILIANA KWA KUPIGA SIMU
0655445585 AU
0784445585 AU
0764101535
TANGZO HILI LIMETOLEWA NA
RASHID S. KITAMBULIO MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA
WILAYA YA SIHA -KILIMANJARO
Subscribe to:
Posts (Atom)