mkuu wa Wilaya ya Siha Mheshimiwa Onesmo buswelu aliyesimama akitoa shukrani kwa mpango wa miaka sita uliondeshwa na Pamoja Tuwalee ndani ya Wilaya ya Siha. shughuli hii ilifanyika katika ukumbi wa mikutano wa halmashauri ya Siha hivi karibuni
baadhi ya washiriki katika kufunga mpango wa miaka sita wa huduma kwa watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi. mpango huu uliokuwa unadhaminiwa na PAMOJA TUWALEE chini ya udhamini wa Watu wa Marekani.
No comments:
Post a Comment