|
MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA SIHA VALERIAN JUWAL AKIMPOKEA NA KUMKARIBISHA NAIBU WAZIRI WA AFYA,MAENDELEO YA JAMII,JINSIA ,WAZEE NA WATOTO MHE. HAMIS KIGWANGALLA ALIPOTEMBELEA WILAYA YA SIHA HIVI KARIBUNI |
|
MHE HAMIS KIGWANGALLA (KULIA) NAIBU WAZIRI WA AFYA,MAENDELEO YA JAMII,JINSIA,WAZEE NA WATOTO AKIFANYA UKAGUZI WA MIUNDOMBINU KATIKA HOSPITAL YA WILAYA YA SIHA |
|
MHE. HAMIS KIGWANGALLA NAIBU WAZIRI WA AFYA,MAENDELEO YA JAMII,JINSIA ,WAZEE NA WATOTO AKIPOKELEWA KATIKA WILAYA YA SIHA |
MHE HAMIS KIGWANGALLA (kulia) AKITOA MAELEKEZO YA KAZI ALIPOFANYA UKAGUZI WA MIUNDOMBINU KATIKA HOSPITAL MPYA YA WILAYA YA SIHA MWISHONI MWA WIKI
No comments:
Post a Comment