MBUNGE WA JIMBO LA SIHA NA NAIBU WAZIRI OFISI YA WAZIRI MKUU NA SERIKALI ZA MITAA OWM-TAMISEMI MHESHIMIWA AGGREY D J MWANRI AKIKABIDHI MABATI NA MBAO KWA SHULE ZA SEKONDARI WILAYANI SIHA.JUMLA YA MABATI 3120 NA MBAO ZA KUEZEKA MAABARA ZIMEKABIDHIWA WILAYANI HUMO NA MBUNGE WA SIHA ILI KUUNGA MKONO WANANCHI KATIKA UJENZI WA MAABARA
No comments:
Post a Comment