HALMASHAURI YA WILAYA YA SIHA
MAWASILIANO:
Ofisi ya
Mkurugenzi Mtendaji (W),
TEL: 027 – 2757646
S. L. P. 129,
Fax: 027 -2756863
Sanya Juu,
SIMU: 073
2973257
SIHA
E-mail:dedsiha@yahoo.com
01/04/2015
Unapojibu tafadhali taja:
Kumb Na.SDC/
S.10/2/VOL III/65
TANGAZO
LA NAFASI ZA KAZI YA UDEREVA
Mkurugenzi
Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha anawatangazia ajira watanzania wenye
sifa za kujaza nafasi za kazi ya udereva kama ifuatavyo:
Dereva
Daraja la II nafasi 8 (TGOS A)
A: Sifa
i.
Kuajiriwa wenye cheti cha mtihani wa kidato cha nne (IV)
ii.
Wenye leseni daraja la C ya uendeshaji magari
iii.
Wenye uzoefu wa kuendesha magari kwa muda usiopungua
miaka mitatu (3) bila kusababisha ajali
iv.
Wenye cheti cha majaribio ya ufundi daraja la II
B: Majukumu
i.
Kuendesha magari ya Abiria na Malori
ii.
Kuhakikisha gari na vyombo vyake vipo katika hali nzuri
wakati wote na kufanya uchunguzi wa gari kabla na baada ya safari ili kugundua
ubovu unaohitaji matengenezo
iii.
Kufanya matengenezo madogomadogo katika gari
iv.
Kutunza na kuandika daftari la safari (Log- Book) kwa safari zote
C: Maelezo
i.
Barua za maombi ziandikwe kwa mkono (Hand writting)
ii.
Mwombaji aonyeshe wasifu wake (CV)
iii.
Barua za maombi ziambatishwe na vivuli vya vyeti vyote
iv.
Mwombaji awe na umri kuanzia miaka 18-45
v.
Weka picha moja ya pasport size
vi.
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 22.04.2015 saa 9.30
Alasiri
NB:Tangazo
hili pia linapatikana kwenye tovuti ya Halmashauri ya Siha, ingia google,
andika www.sihaleo
blogs
Maombi yote yatumwe kwa: Mkurugenzi Mtendaji
Halmashauri ya Wilaya ya Siha,
S.L.P. 129,
Sanya Juu-Siha
Rashid.S. Kitambulio
MKURUGENZI MTENDAJI
HALMASHAURI YA WILAYA
SIHA
No comments:
Post a Comment