wajumbe wa kamati ya Fedha ,Uongozi na Mipango na Baadhi ya wataalam katika Hamashauri ya Wilaya ya Siha wakikagua eneo lilipowekwa vitalu vya miche bora ya zao kahawa katika kata ya Nasai Wilayani hapa. Zao la kahawa ni zao la asili la wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro na Wilayani siha kwa ujumla
No comments:
Post a Comment