Wednesday, 18 February 2015

HABARI KATIKA PICHA



 NAIBU WAZIRI WA MAJI AMOSI MAKALA KATIKATI AKIPOKEA MAELEZO MAFUPI YA USAMBAZAJI WA MAJI WILAYA YA SIHA KATIKA OFISI KUU YA  BODI YA MAJI LAWATE FUKA WATER SUPPLY  ILIYOPO KATA YA NASAI KIJIJI CHA KOBOKO KUSINI TAREHE 13/FEBR/2015


NAIBU WAZIRI WA MAJI  AMOSI MAKALA ALIYEKAA CHINI AKIOTESHA MTI WA KUMBUKUMBU KATIKA OFISI KUU YA MAJI BODI YA MAJI LAWATE FUKA WATER SUPPLY SIKU YA IJUMAA TAREHE 13/2/2013 KATIKA ZIARA YAKE WILAYANI SIHA




No comments:

Post a Comment