Monday, 2 February 2015


 BONANZA LA MICHEZO KWA WATAALAMU WA AFYA WILAYA YA SIHA NA HAI LAFANYIKA KWA MAFANIKIO MAKUBWA. LENGO LA BONANZA HILO NI KUBORESHA USHIRIKIANO MIONGONI MWA WATUMISHI NA KUIMARISHA AFYA ZAO KWA KUFANYA MAZOEZI YA VIUNGO






Mbunge wa Siha Mh Aggrey Mwanri akisaga rumba na madaktari hao mara baada ya bonanza kumalizika na Siha kufanikiwa kuwa mshindi wa jumla kwa michezo yote kwa mwaka 2015


No comments:

Post a Comment