Monday, 18 July 2016
shule za Siha zafanya kweli matokeo kidato cha Sita mwaka 2016
Shule za sekondari za Serikali Wilayani Siha zimepata matokeo mazuri ya kidato cha sita (form Six kwa mwaka 2016) na kushangaza shule nyingi kongwe mkoani Kilimanjaro.
shule zilizofanya vizuri katika matokeo hayo ni;-
OSHARA SEKONDARI: Matokeo yake Div 1=8,Div II=36,Div III=05 hakuna four wala Zero. shule hii imeshika nafasi ya kwanza Wilaya ya Siha kati ya shule tano zilizopo(1/5) ,nafasi ya 6 mkoa wa Kilimanjaro kati ya shule 50(6/50) na nafasi ya 44 kitaifa kati ya shule 423
Aidha, shule nyingine iliyofanya mtihani wa Kidato cha Sita na kushangaza wengi ni MAGADINI SEKONDARI.Matokeo ya shule hii ni kama ifuatavyo:Div I=09,Div II=32,DivIII=10.hakuna daraja la 4 wala sifuri. Shule hii imeshika nafasi ya 2 Kiwilaya kati ya Shule 5,nafasi ya 10 Kimkoa kati ya shule 50 na nafasi ya 59 kati ya shule 423
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment