TANGAZO
MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA SIHA ANAWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWA MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA LA MADIWANI KWA KIPINDI CHA ROBO YA TATU (JANUARI HADI MACHI ,2016) UTAFANYIKA TAREHE 6.5.2016 SAA 4:00 ASUBUHI.
MKUTANO HUO UTAFANYIKA KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WA HALMASHAURI YA WILAYA YA SIHA.
WOTE MNAKARIBISHWA
limetolewa na Kitengo cha habari na Mawasiliano (W) SIHA
tarehe 03 Machi,2016
No comments:
Post a Comment