wanafunzi wa shule ya Sekondari Sanya Juu(Sanya Day) wakiwa wamebeba bango lenye ujumbe wa siku
ya mazingira duniani iliyofanyika tarehe 05.06.2014 kwa zoezi la
kupanda miti katika shule hiyo.zoezi hili liliwezeshwa na Jumuiya ya
benki ya wananchi tanzania COBAT wanafunzi wa shule ya sekondari sanya Juu wakishiriki katika zoezi la uhifadhi wa mazingira katika kilele cha siku ya mazingira Duniani tarehe 05.06.2014 zoezi la mazingira sanya Juu Sekondari
kaimu mkurugenzi wa halmashauri ya siha Eliot Mwasbwite aliyevaa miwani kushoto alionesha masikitiko yake baada ya kufika eneo la tukio alipokufa tembo katika mazingira yasiyoeleweka
No comments:
Post a Comment