baadhi ya watumishi wa Wilaya ya siha waliofika katika moja ya vilele vya mlima kilimanjaro siku ya ijumaa tarehe 16.05.2014 katika kuitikia wito wa kuboresha utalii wa ndani ulitolewa na TANAPA
vijana wa wilaya ya Siha wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kupata mafunzo ya utunzaji wa fedha yaliyotolewa na COBAT kwa ushirikaino na We Effect kutoka Sweden..mwenye nywele nyeupe wa Nne kutoka kulia ni Fuhanael Kihunrwa mmoja wa wawezeshaji katika mafunzo haya yaliyofanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa Amani sanya Juu
Saturday, 17 May 2014
Monday, 12 May 2014
jengo la kisasa la hospital mpya ya Halmashauri ya Wilaya ya Siha linalotegemewa kutumika katika siku za hivi karibuni katika kuimarisha huduma za afya kwa Wananchi wa Siha
HILI NI LANNGO LA LONDOROSI GETI SEHEMU AMBAYO ITATUMIKA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO KATI YA TAREHE 15-18 2014 NA WATALII WA NDANI KUTOKA MKOA WA KILIMNAJARO (PICHA HAPA CHINI)
HALI ILVYOKUWA KATIKA UWANJA WA USHIRIKA MJINI MOSHI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA WAFANYAKAZI MEI MOSI 2014
Saturday, 3 May 2014
ZOEZI LA UPANDAJI MITI KATIKA KATA YA GARARAGUA,KIJIJI CHA WIRI WILAYA YA SIHA
Mkuu wa Wilaya ya Siha Dr Charles Mlingwa akipokea taarifa fupi ya upandaji wa Miti katika Kata ya Gararagua iliyopo Wilayani Siha.zoezi hili limefanyika mwishoni mwa wiki
mkuu wa Idara ya Ardhi na Maliasili Wilaya ya siha ndugu Jonas P.M akieleza jambo katika zoezi la upandaji miti kijiji cha Wiri mbele ya mkuu wa Wilaya ya Siha ambaye pichani hayupo
mkuu wa Idara ya Ardhi na Maliasili Wilaya ya siha ndugu Jonas P.M akieleza jambo katika zoezi la upandaji miti kijiji cha Wiri mbele ya mkuu wa Wilaya ya Siha ambaye pichani hayupo
SHEREHE ZA MEI MOSI 2014 UWANJA WA USHIRIKA MJINI MOSHI
WAFANYAKAZI WAKIPONGEZANA KATIKA SHEREHE ZILIFANYIKA UWANJA WA USHIRIKA MJINI MOSHI.
BANGO LA WAFANYAKAZI KUTOKA HOSPITAL YA KIBONGOTO WILAYANI SIHA WAKIPITA MBELE YA MGENI RASMI NA UJUMBE WA MEI MOSI2014
SHAMBA LA MISITU WILAYANI SIHA LILILOPO WEST KILIMANJARO WAKIPITA MBELE YA MGENI RASMI MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO LEONIDAS GAMA WAKIWA NA GARI LENYE MICHE YA MITI KATIKA SHEREHE ZA MEI MOSI MWAKA 2014
bango la hospital ya taifa ya Kifua Kikuu iliyopo Wilayani Siha Wakitoa ujumbe wao kwa Wafanyakazi katika maadhimisho ya Mei Mosi 2014 katika Uwanja wa Ushirika Mjini Moshi
BANGO LA WAFANYAKAZI KUTOKA HOSPITAL YA KIBONGOTO WILAYANI SIHA WAKIPITA MBELE YA MGENI RASMI NA UJUMBE WA MEI MOSI2014
SHAMBA LA MISITU WILAYANI SIHA LILILOPO WEST KILIMANJARO WAKIPITA MBELE YA MGENI RASMI MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO LEONIDAS GAMA WAKIWA NA GARI LENYE MICHE YA MITI KATIKA SHEREHE ZA MEI MOSI MWAKA 2014
HABARI KATIKA PICHA
mwenyekiti wa Halmashauri ya Siha Mheshimiwa Jonathan Nasari alisoma Taarifa yake mbele ya Baraza la Madiwani Siha tarehe 30.04.2014
BAADHI YA MADIWANI WA VITI MAALUMU WAKITETA JAMBO MARA BAADA YA KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI TAREHE 30 04. 2014 KATIKA HALMASHAURI YA SIHA
Subscribe to:
Posts (Atom)