Friday, 2 September 2016
MATUKIO KATIKA ZIARA YA RC KILIMANJARO WILAYANI SIHA
mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Mh. Saidi Mecky Sadik akiongea na watumishi wa Hospital ya Wilaya ya Siha hivi karibuni wakati alipofanya ziara hiyo fupi Wilayani humo.
HABARI KATIKA PICHA-ZIARA YA RC KILIMANJARO WILAYA YA SIHA
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mh. Saidi Mecky Sadik alipokea taarifa fupi ya Hospital ya wilaya ya Siha hivi karibuni wakati alifanya ziara ya kukagua shughuli mbalimbali katika hospital hiyo
WILAYA YA SIHA YASHIRIKI KATIKA KUTUNZA MAZINGIRA SIKU YA MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU WILAYANI HUMO
mkuu wa Wilaya ya Siha Mh. Onesmo Buswelu ashiriki katika zoezi la upandaji miti katika shule ya Msingi Sinai kata ya Ormelili Wilayani Siha. zoezi hilo lilifanyika siku ya mbio za mwenge wa Uhuru ulipowasili Wilayani Siha ukitokea mkoa wa Arusha.
Thursday, 1 September 2016
RC KILIMANJARO AFANYA ZIARA FUPI WILAYANI SIHA NA KUKAGUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO PAMOJA NA KUKUTANA NA WANANCHI
RC KILIMANJARO MH. SAIDI MECKY SADIK AKIONGEA NA WANANCHI WA SIHA MAGHARIBI KATIKA KIJIJI CHA NGARENAIROBI HIVI KARIBUNI.
RC KILIMANJARO AKIPOKEWA KATIKA HOSPITAL YA WILAYA YA SIHA,ALIPOTEMBELEA HOSPITAL HIYO NA KUKAGUA HUDUMA MBALIMBALI ZINAZOTOLEWA KATIKA HOSPITAL HIYO YA WILAYA YA SIHA.
RC KILIMANJARO AKIPOKEWA KATIKA HOSPITAL YA WILAYA YA SIHA,ALIPOTEMBELEA HOSPITAL HIYO NA KUKAGUA HUDUMA MBALIMBALI ZINAZOTOLEWA KATIKA HOSPITAL HIYO YA WILAYA YA SIHA.
JENGO LA MAKAZI YA WALIMU SHULE YA SEKONDARI NAMWAI LAFUNGULIWA NA MWENGE WA UHURU WILAYANI SIHA MKOA WA KILIMANJARO
Jengo la nyumba ya walimu katika shule ya sekondari Namwai Kata ya Ngarenairobi lililofunguliwa na mwenge wa Uhuru Wilayani Siha. jengo hilo lina uwezo wa kuishi walimu sita kwa wakati mmoja. mwenge wa uhuru ulifungua jengo hilo tarehe 28.8.2016 uliwasili Wilayani Siha.
MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA KWA SHANGWE NA WANANCHI WA WILAYA YA SIHA MKOANI KILIMANJARO
MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA SIHA VALERIAN JUWAL AKIPOKEA MWENGE WA UHURU KATIKA KIJIJI CHA MATADI TAREHE 28.8.2016
Subscribe to:
Posts (Atom)