![]() |
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Ndg Amos makala akiwa na baadhi ya wahudumu wa Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Siha tarehe 01.10.2015 ukumbini Rc |
Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Siha wakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ndg Amos Makala katika ziara fupi ya kikazi aliyoifanya Wilaya ya Siha hivi karibuni